Monday, 25 July 2016

only you Jesus lyrics by Ada ehi

only you Jesus lyrics


Jesus said to her, I am the resurrection and the Life: he that believes in me, though he were dead, yet shall he live: John 11:25


Then Jesus said, "Did i not tell you that if you that if you believe, you will see the glory of God? John 11:40



...Jesus cried with in a loud voice, "Lazarus, come forth" And he that was dead came forth, bound hand and foot with grave-clothes; and his face was bound with a napkin. Jesus said unto them, loose him, and let him go. John 11:43-44



Hallelujah, 



Where ever you are, Who ever you may be, What ever you require no matter the situation or however long it may have been, He has said in Jeremiah 32:27 "Behold, I am the lord, the God of all flesh: Is there any thing too hard for me?" Call his name by faith over any situation and receive your miracle!



For He Is Capable!






lyrics in full official

lyrics will be available soon ... 

Sunday, 17 July 2016

NGORI LYRICS BY KELELE TAKATIFU


  (CHORUS)

Itakuwa ngori
bila yesu itakuwa ngori
Pause
mwisho wa story
Ananishangazaga na sema ulala
Kumsifu ,kazi hakuna kulala
Amenipa mavazi na chakulala
Niko fresh niko fridge nko coolala
Askari ama jeshi ama uwe raiya
Tumekubaliana devil is a liar
Bila yesu mambo ngori mambo iko mbaya
Nikasafari bila visa ya kufika ulaya
Hii sio movie ka ya peter pan
Nafwata yesu pia if peter can
Kila mtu sifu mungu ata peter can
Na ni mimi dydy hapa but am think am done

  (CHORUS)

Unaitwa otieno ama dingori
Haijalishi but bila Yesu ni ngori
Itakuwa moody kuliko Awori

Kaa muvy haina stero mwisho wa story
Hii story inaniuma uma
Nata isambae kaa rumor rumor
Yesu amenituma tuma
Nikushow bila yeye nikaa kuuma chuma
Haijalisha umefanya nini no no
Love yake nyinyi kwake more more
Alinitoa mimi chini chini low low
Usikatae kumwamini…mini no no
Yesu ndio fiti fiti stylo
Ye ndio mfiti mfiti I know
Yesu ndio fiti fiti stylo
Ye ndio mfiti mfiti I know

  (CHORUS)

So iiiii tell yah bila yesu ni ngori I tell yah x3
Mummy I tell yah
Daddy I tell yah
Nani I tell yah
  (CHORUS)

Friday, 15 July 2016

BACK AGAIN LYRICS BY PASTOR RHYMES FT KELELE TAKATIFU


Mmmmmmmmh   Pastor Rhymes,

 Kelele Takakade-

Hallee-hallelujah, Eih He's coming back again

Hallee-hallelujah, Eih nipe moyo safi

Oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai

Nipe moyo safi

Oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai

   
            TEDDY B

Napenda Yesu na hio sio siri

Amenitoa fayani uko Misiri

Walidhani nitarudi nyma misiri

lakini Yesu wewe umenisitiri

Nchini wazi wazi tunahubiri

kwa vijiti hata na kwa **masiri

Upendo wangu na Yesu sio wa siri



minajua nitamwona one day

kila kitu iwe swari

kila goti litapiga some day

bila kuuliza swali

minajua nitamwona one day

kila goti litapiga some day



                    CHORUS

He's coming back again, Halee-halellujah 

He's  coming back again, Halee-halellujah

Eiiih nipe moyo safi


oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai

Eiih nipe moyo safi 

oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai X2



maisha bila Yesu ni calamity

ata afadhali kufungwa kamiti

aiih kanisani ni macommetee

na ya muhimu hakuna mikakati



oh nana, juu mimi na yeye

mbinguni tutaonana nimepata nafuu

nimeshaponana, nimechorea dhambi zangu jo jana

ohyaya

unarudi tena hio mimi niko sure

mi nitakugoja iwe mvua ama jua

juu umeniwezesha mi kupiga hatua

tunaenda nawe hio niko sure.



                    CHORUS

He's coming back again, Halee-halellujah 

He's  coming back again, Halee-halellujah

Eiiih nipe moyo safi

oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai

Eiih nipe moyo safi 

oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai  X2


Nimeokoka long time

it's been a long time coming

nicheki nikimsifu 

mi naruka kama nyani

Saito simtambui yeye ni nani

kusudi naingiza he's coming aiiiih

so aiiih, siachi Yesu no aiiih

zaidi go yai aiiih

yo mama yo mama yoh mamaiiii



iiii Damu ya Yesu ilimwangika kaivali

iii Damu ya Yesu kaning'arisha niko tayari X2




                    CHORUS

He's coming back again, Halee-halellujah 

He's  coming back again, Halee-halellujah

Eiiih nipe moyo safi

oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai

Eiih nipe moyo safi 

oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai  X2

Thursday, 14 July 2016

ENDA NASI LYRICS BY REUBEN KIGAME


Verse 1
Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe Bwana wa majeshi utusikie
Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi pekee yetu, enda nasi



Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako, turehemu
Tusafishe ee Baba, tuonyeshe uso wako
Twahitaji neema yako, enda nasi



CHORUS

Tutavua mapambo yetu
Na vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi

Verse 2
Tunaomba utuonyeshe njia zako
Kwa maana umetuita kwa jina
Twalilia Ee Bwana, utukufu na uso wako
Bila wewe tutashindwa, enda nasi



CHORUS
Tutavua mapambo yetu
Na vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi

Tuesday, 12 July 2016

VISA (VISANGA) LYRICS BY BAHATI


Verse 1

Ni saa moja, na giza ya bisha
Hata bila kujulishwa, kila mtu nyumbani
Ni saa moja, na giza ya bisha
Mchunguze mwenzio, macho kwa telly, ooh
Visa vya anga, kila mtu yu kimya
Twangoja vidokezi ooh, huzuni wajaa hewani
Visa vya anga, kila mtu yu kimya

Twangoja vidokezi ooh, huzuni wajaa hewani
Na hakuna furaha, watu wajishika tama
Twalia kwa ndani, huzuni moyoni
Hakuna furaha, watu wajishika tama
Twalia kwa ndani, machozi moyoni

Chorus

Juu na visa ooh, vyatuvunja mioyo
Ukifungua macho hautamani, uonacho, ooh
Baba twajiweka, mikononi mwako
Juu machozi yetu, yamekuwa chakula chetu

Verse 2

Mara baba, kamshika mwanawe kwa nguvu
Mwingine kajitia kitanzi, baada ya mapenzi
Na yule, kasahau nduguye akifuata mali
Sasa ni upanga, kupigania shamba
Na hili halikosi, vita, kati ya dini
Hatuelewani, wakristo, waislamu
Kutwa kucha, tuko vitani Hatuelewi, hautelewi
Mara vita, mara ukabila, ya mataifa Hatuelewi, hatuelewi
Maskini walia hela, aliyenazo yualia amani
Hatuelewi, na hatuelewi

Chorus
Na visa ooh, vyatuvunja, mioyo
Ukifungua macho, hautamani uonacho
Ooh baba, twajiweka, mikononi, mwako
Juu machozi yetu, yamekuwa chakula chetu (x2)

Saturday, 9 July 2016

FANYA LYRICS BY WILLY PAUL

 Mabinti walinichanganya Nairobi mpaka mombasa
Kayole mpaka Dandora, Mathare mpaka Huruma
Ghetto mpaka Tribeka, ni kweli mimi awillie
Nilikuanga mziririe, walinitisha mabintire
hivi leo nimerudi-ee kwa mwenyezi-ree anisamehe

Jalali nakumiss sanaa,
kukupenda ndio nataka kufanya
fafa fanya fafa fanya
fafa fanya fafa yanya
fafa fanya fafa fanya
fafa fanya fafa fanya



Walitap mic one, two, si mnafahamu yule Daudi-ee
alitenda madhambi eeh, lakini mungu ee alimpenda eeh
unamjua huyu Daudi-ee alikwendaa-re akapotea
leo leo narudi kwa Baba X2
nikikweli eeh mimi awillie, nilikuanga

Ni kweli mimi awillie
Nilikuanga mziririe,
walinitisha mabintire
hivi leo nimerudi-ee
kwa mwenyezi-ree anisamehe

Jalali nakumiss sanaa,
kukupenda ndio nataka kufanya
fafa fanya fafa fanya
fafa fanya fafa yanya
fafa fanya fafa fanya
fafa fanya fafa fanya

mhh kamata chini, na na na na
juu kwa juu na na na na na
siku za mwisho zimewadia
wangapi watarudi na mitendee kwake Babaa

oooh Halleluyah X5

Wednesday, 6 July 2016

TUKUZA LYRICS BY GLORIA MULIRO


VERSE 1 LYRICS:
Nitamtukuza Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
Nitamtukuza Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamrukia Mwokozi siku zangu zote
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamrukia Mwokozi siku zangu zote
nitamtukuza Jehova milele daima

CHORUS LYRICS:
Nitamtukuza aah... tamtukuza ooh..
milele daima
nitamuinua aah... tamuinua eeh...
milele daima

VERSE 2 LYRICS:
Yeye ndiye Bwana wa moyo wangu
Yeye ndiye Mungu wa maisha yangu
Binguni duniani hakuna kama Yeye
Simba wa Yuda Mwana wa majeshi eeh

CHORUS LYRICS:
nitamuinua aah... tamuinua eeh...
milele daima

VERSE 3 LYRICS:
Nitamtukuza Mwokozi siku zangu zote
nitamtukuza Jehova milele daima
mimi nitatangaza wema wake maishani mwangu
nitamtukuza Jehova milele daima
nitashuhudia Wema Wake kwa mataifa yote
nitamtukuza Jehova milele daima
mimi sitachoka kumuimbia Mwokozi wangu
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua, nitamtukuza Mwokozi
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua Mwokozi, milele yote
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuabudu, nitamuinua Mwokozi
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamrukia Mwokozi milele milele
nitamtukuza Jehova milele daima

NI NANI KAMA WEWE LYRICS BY FANUEL SEDEKIA


Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Mwenye nguvu kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Mwenye enzi  kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,

Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Atupendaye kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Anaye tujali kama wewe, bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Mwenye enzi  kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,
Mtakatifu kama wewe, nani kama wewe,
Mwenye enzi  kama wewe bwana, nani kama wewe,
Ni nani kama wewe bwana, nani kama wewe,

Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Tunajua hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
 Hakuna mwingine, kama wewe bwana,
Hakuna mwingine, kama wewe bwana,

ONE MORE TIME LYRICS BY EUNICE NJERI


Thank you Jesus!
 Chorus
One more time, one more time, one more time, Lord i need your touch!
One more time (hallelujah), one more time (one more time), one more time, Lord i need your touch! (say it again)
One more time (i need you lord), one more time, one more time, Lord i need your touch!
(Instrumental)
Verse 1
 Everyday, every night, every hour, how i need your touch,
And everywhere, every place i go, Abba Father, how i need your touch,
Chorus
One more time (just one more time), one more time (one more time), one more time, Lord i need your touch! (tell him one more time)
One more time (one more time), one more time (one more time), one more time, Lord i need your touch!
(Instrumental)
Verse2
I need your peace, i need your love, just one more time how i need you lord,
Jehovah Shalom, Jehovah shama, Jehovah Jaire, how i need you now, (one more time)
Chorus
One more time, one more time, one more time (hallelujah), Lord i need your touch (sing again)
One more time (hallelujah), one more time (just one more), one more time, Lord i need your touch!
(Instrumental)
Verse 3
You are all i want; and all i desire, i want to be holy, how i need you now,
Cleanse me father, and wash my stain, make me whole, Lord i need you now (sing ye-a-ah)
Chorus
One more time, one more time (hallelujah), one more time, Lord i need your touch! (sing again)
One more time, one more time (just like Samson i pray), one more time, Lord i need your touch!
How i need you, now!!
Verse 4
Everyday, every night, every hour, how i need you God,
Every place, every where i go, Abba father how i need your touch! (one more time)
Chorus (till fade)
One more time, one more time (one more time), one more time, Lord i need your touch! (tell him once more)
One more time, one more time (hallelujah), one more time (one more time), Lord i need your touch!
One more time, one more time (hallelujah), one more time, Lord i need your touch! Touch! Touch!

NEEMA LYRICS BY EUNICE NJERI



Verse1
Neema yako, ya ajabu, imeniokoa, a-a nili-potea ukanipata,sasa nimeona,
o-o neema yako ya ajabu (u-u-u), imeniokoa,
nilipotea ukanipata (u-u-u),   sasa ninaona,
Chorus
o-o bwana nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa
ne-ema yako ya ajabu!
o-o baba nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa
ne-ema yako, ya ajabu!

Verse 2
Neema hiyo imenitosha, imenisamehe, baba,
Udha-hifu wangu umeufanya nguvu, milele na sifu,
Neema hiyo imenitosha, imenisamehe, Yahweh,
Udha-hifu wangu umeufanya nguvu, milele nasifu,
Chorus
o-o baba nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa
ne-ema yako, ya ajabu!
e-e baba nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa
ne-ema yako, (hallelujah) ya ajabu!
Verse 3
Ni kwa ne-e-ema, Ni kwa ne-e-ema, Ni kwa ne-e-ema, mi naishi e e!
Ni kwa ne-e-ema, Ni kwa ne-e-ema (naishi), Ni kwa ne-e-ema, (halleluyah)
nita shuhudia neema yako, Yahweh! Kama si wewe Yesu, tungekua wapi sote?
Jehovah Shalom (a a a),Jehovah Nisi, Jehovah Mungu,  Jehovah Rohi! Ubarikiwe!
Hallelujah! Hakuna kama wewe Yesu! Asante kwa Neema! Nita shukuru milele milele! Milele! milele! baba!
Chorus
bwana nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa
ne-ema (o-o) yako ya ajabu!
o-o baba (nina sema asante)nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa ne-ema yako, ya ajabu!
e-ebwana nina shukuru, (ninashukuru), ninashukuru, ninashukuru baba (ninashukuru), ninashukuru kwa ne-ema yako ya ajabu!
 e-e baba natoa asante, nasema asante Yahweh (ninashukuru), ninashukuru (ninashukuru), ninashukuru kwa ne-ema yako ya ajabu!
(Asante kwa neema, yesu nashukuru, kwa neema!)
(Asante kwa neema, kama siwewe tuge imba, tuimbe nini!)

NAJUA LYRICS BY EUNICE NJERI


Chorus 
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,

Verse 1
Jua na mwezi zaisikia sauti yako,
Samaki baharini wakuiniua,
Ndege wa angani wanashangilia,
 nami baba nakuabudu,

Chorus 
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,

Verse 2
Yeye ndiye jemedali mkuu,
Yeshua, kuani mkuu,
Alpha Omega, mwanzo tena mwisho, 
Hakuna aliye kama yeye, 

Chorus 
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,

Verse 3
Wanyonge wakukimbilia hata wagonjwa, wewe wa waponya,
Waliofungwa wewe wa wafungua,
Utukuzwe, wastahili,

Chorus 
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,
Nie nijohe, nijohe, mwoonekia wakwa are moyo, are moyo,
Nie nijohe, nijohe, mwoonekia wakwa are moyo, are moyo,
Nie nijohe, nijohe, mwoonekia wakwa are moyo, are moyo,
Najua mkombozi wangu, anaishi, anaishi,
Najua mkombozi wangu, anaishi,anaishi,

MAMBO SAWASAWA LYRICS BY EUNICE NJERI

CHORUS LYRICS:
Mambo sawa mambo sawa sawa
Mungu Yuko enzini tuko sawa
Mambo sawa mambo sawa sawa
Mungu Yuko enzini tuko sawa

VERSE 1 LYRICS:
I hear the voice of a mama cry
nisaidie
I hear the voice of a baby cry
nani atanisaidia
naona wingu kama mkono wa mtu
naona wingu, itanyesha tena
itanyesha tena

CHORUS LYRICS:
Mambo sawa mambo sawa sawa
Mungu Yuko enzini tuko sawa
Mambo sawa mambo sawa sawa
Mungu Yuko enzini tuko sawa

VERSE 2 LYRICS:
Nalia hee...
nalia oooh...
kama ni uhai, naona mimi nitangulie
niende nyumbani, hii njaa inanimaliza
watoto wangu, mume wangu
amani yangu yote imeisha lakini najua
yote yako sawa

CHORUS LYRICS:
Mambo sawa mambo sawa sawa
Mungu Yuko enzini tuko sawa
Mambo sawa mambo sawa sawa
Mungu Yuko enzini tuko sawa

VERSE 3 LYRICS:
Mambo sawa, yote sawa
tuko sawa, sote sawa
Mambo sawa, yote sawa
tuko sawa, sote sawa

CHORUS LYRICS:
Mambo sawa mambo sawa sawa
Mungu Yuko enzini tuko sawa
Mambo sawa mambo sawa sawa
Mungu Yuko enzini tuko sawa

BWANA YESU LYRICS BY EUNICE NJERI


Verse 1

Bwana Yesu, Bwana Yesu,
Kimbilio langu, ni wewe Baba
Tumaini langu, liko kwako Yaweh,
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe 

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Verse 2
Haleluya, Haleluya Baba
Oh ulinifia mwokozi wangu, dhambi zangu zote ukaziosha
Sijapata mwingine, dunia yote kama wewe yahweh
Sijapata mwingine, sijapata mwingine kama wewe Yahweh

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Verse 3
Nakuinua, nakuinua
Milele milele,nitakuimbia
Kwa yale umenitendea Baba nakusifu
Milele Milele, milele daima Bwana wangu
Milele na milele, milele daima Bwana wangu we 

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Verse 4
Hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Mbinguni na duniani tuimbe (Hakuna kama wewe)
Aliye filia dhambi zangu nasema (Hakuna kama wewe)
Mponyaji wangu ndiye Jehova rafa (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Ulimwengu wote tuimbe (Hakuna kama wewe)
Dunia yote tuseme tusemee (Hakuna kama wewe)
Nasema hakuna hakuna hakuna (Hakuna kama wewe)
Oh hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Oh hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna tuimbe (Hakuna kama wewe)
hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe)

ANABADILISHA LYRICS EUNICE NJERI & BETTY BAYO


Verse 1
Mungu wangu anaweza
kubadili maisha yako
Mungu wangu anaweza
kubadili hiyo hali yako
Mungu wangu anaweza
kubadili maisha yako

unakoishi
unachokula
unakolala
Mungu wangu anaweza
anabadilisha

Chorus
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

Verse 2
He can save your life
He can change your life
He can change everything
He's God, He's God
He can change your lifestyle
He can change your story
He can change everything
He's God, He's God

Chorus
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha


Verse 3

He can change yours today
He can change yours tomorrow
He can change everything
He is God, He is God

He can change yours today
He can change yours tomorrow
He can change everything
He is God, He is God


Chorus

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha


Verse 3

Yesu anaweza inua
kutoka mavumini
akuketishe na wafalme
panda yeye ni Mungu
amenitengeneza
ndio ninaimba tena
ndio maana ninaimba yeye
anabadilisha

Chorus
anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha

anabadilisha, anabadilisha
anabadilisha, badilisha, badilisha