Friday, 20 November 2015

Muziki ni dawa lyrics by Ringtone

Muziki ni dawa lyrics by Ringtone

Asante kwa muziki, Asante mungu kwa ngoma aa
Hebu wewe ona, vile watu wako wanapona x2

Muziki ni dawa, ukisikiza utakuwa sawa
Muziki ni dawa, ndiyo maana mimi naimba aa x2

Shida zina nionea, maisha nikuvumilia
Mimi na ng’angana,naletea mwaching’a
Mwili aanza kuuma, kichwa kina niuuma
Mgongo unauma, madawa nanywa si poni

Nasikia muziki kwa redio, mwili wangu unapoa
Swali ni jibu, ooh Muziki ina nini

Chorus
Asante kwa muziki, Asante mungu kwa ngoma aa
Hebu wewe ona, vile watu wako wanapona x2

Muziki ni dawa, ukisikiza utakuwa sawa
Muziki dawa, ndiyo maana mimi naimba aa x2

Nilikuwa napewa story ya mfamle mmoja, kwa jina aliitwa sauli alipagawa mwili
Palikuwa na kijana mmoja kwa jina Daudi, alikuwa na talanta, talanta kama mimi
charlaw.blogspot.com

Kati yangu mimi na yeye, anacheza zeze
Mfalme alipagawa, watu wakashtuka
Waliitwa kwa mfalme ndiyo wakashindwa, Daudi alipocheza zeze sauli akapona

Chorus
Asante kwa muziki, Asante kwa ngoma aa
Hebu wewe ona, vile watu wako wanapona x2

Ngai no masikin, masikio nyasae no maskin
Nchwai no maskin, masikio nyasae no maskin x2
Utapona mungu ako utapona
Utapona muziki ni wake utapona ugoigoi x2

No comments:

Post a Comment