Tuesday, 10 November 2015

Mwaminifu (Faithful) Lyrics by Frank


Mwaminifu (Faithful) Lyrics by Frank

Languages Swahili and English

Unastahili kuabudiwa (You deserve worship)
Ewe mfalme wa mbingu na nchi yote (Oh King of heavens and all the earth)
Nakuheshimu, nakusujudu (I honor You, I’m prostrate before You)
Leo, sasa na milele (Today, now and forever)

Refrain:
Mwaminifu, mtakatifu (Faithful, Holy)
Tamalaki ewe Bwana (Reign Oh Lord)
(Repeat)

Pokea sifa, ewe Mfalme (Receive praise, oh King)
Mwenye nguvu na mamlaka yote (The Mighty one, with all the authority)
Nakuheshimu, nakusujudu (I honor you, I worship You)
Leo, sasa na milele (Today, now and forever)

(Refrain)

No comments:

Post a Comment