Sunday, 6 December 2015

Story yangu lyrics by bahati and denno.

   DENNO
Niskize mtoto wa mama, hivi unavyo niona aaah
Mimi Denno, nimetoka na mbali sana eeh
Mtoto wa mama, hivi unavyoniona aaaii
Mimi Denno, nimetoka na mbali sana eeh
Eeeh kangemi nikazaliwa, aaaii ata mwangaza sikuwai kuja kuona eeh

      (CHORUS)
Story yangu ni story yangu 
Ebu rafiki nipe sikio
Mi nataka simulia ×2

  BAHATI
Najua uchungu maswali mengi kwako moyoni 
Kwa nini mola iwe hii,kwa nini mola iwe mimi
Najua uchungu na mimi hunioni, niko na rasta lakini mbona imefungika
Kapewa story 99 mama alipoondoka
Skiza nikupe story kumbuka ghetto ni ngori
99 baba akanitoka sana ikawa machozi
Mchanga na sijiwezi maisha, kung'ang'ana nikaona siwezi
Ndoto zangu nikatupa mbali,ila leo niko mahali. charlaw.blogspot.com.
Maisha ya kung'ang'ana na siwezi, kumbe mungu aliona mbali
Ivo mziki amenipa mimii...

   (CHORUS)
DENNO 
Nasema mungu ni mwema, story zimebadilila

BAHATI
Leo hii tunaimba nabarikiwa
charlaw.blogspot.com

No comments:

Post a Comment