Monday, 15 August 2016

MAPENZI LYRICS BY BAHATI

Na na na
Hehehehe
hapo mwanzoni, hapo mbeleni
shamba Edeni, ah story ya mapenzi

wengi kwa mapenzi hawana imani, yaliwaumiza sana
mapenzi yanatesa zaidi ya money X2


Na yalimtesanga kakangu zamani
nyumbani kawa kisirani,
washiriki katoka kanisani lalala
yalimtesanga kakangu zamani,
wameyalinda wengi  kwa burudani

CHORUS

oh oh oh, mapenzi kwa nini watesatesa?
oh oh oh, aliyekuumba ni Mola X2

Nilifunzwa na Babu ndoa ilivyomtunza,
nikasoma kwa baba naye, Adamu pendana X2

Na Adamu akampenda Hawa ndio maana kala lile tunda
hapo ndipo amri ikazaliwa unakumbuka eh,
Na Adamu akampenda hawa nami nadhani tu,,,
mapenzi yafanya tu nachezwa.

CHORUS

oh oh oh, mapenzi kwa nini watesatesa?
oh oh oh, aliyekuumba ni Mola X2

Nikaogopa kupenda tena, nikaogopa kupata wangu
mtoto mama eh,mbona unatesa mapenzi?
mbona unatesa kwa nini? mbona unatesa mapenzi?
Kazini,nyumbani,kanisani.


CHORUS

oh oh oh, mapenzi kwa nini watesatesa?
oh oh oh, aliyekuumba ni Mola X2

Ah nikaogopa kupenda tena ,nikaogopa kupenda tena,
mungu kaumba mapenzi, mungu kaumba mapenzi,
story ya mapenzi, story ya mapenzi ilianza Edeni.
mungu kaumba mapenzi, mungu kaumba mapenzi

mtoto mama, Bahati tena

No comments:

Post a Comment