Friday, 20 November 2015

Ni wewe lyrics by Janet Otieno


Ni wewe lyrics by Janet Otieno

Refrain:
Kila Kitu Changu Ni Wewe
Ninaye Mwimbia, Ni Wewe
Maishani Mwangu, Nimeamua Ni Wewe
Mi Nimeshanganzwa Na Matendo Yako Baba
Ulivyonichukua Na Kunitunza Kama Wako
Sa Mi Ni Wako, Kwangu Kwako
Ukanipenda, Ukaniita Mwana Wako

Chorus:
Juu, Chini, Kushoto Kulia
Sijamwona Kama Wewe
Sa Mi Ni Wako, Kwangu Kwako
Ukanipenda, Ukaniita Mwana Wako
Naomba Uniweke Kwako Ndani
Niwe Imara Kama Milima Zayuni
Hauta Anguka Kukiwa Na Mawimba Wala Kutikiswa Kukiwa Na Adui
Kila Kitu Ni Wewe

Refrain:
Kila Kitu Changu Ni Wewe
Ninaye Mwimbia, Ni Wewe
Maishani Mwangu, Nimeamua Ni Wewe
Mi Nimeshangazwa Na Matendo Yako Baba
Ulivyonichukua Na Kunitunza Kama Wako
Sa Mi Ni Wako, Kwangu Kwako
Ukanipenda, Ukaniita Mwana Wako

Chorus:
Jua, Chini, Kushoto Kulia
Sijamwona Kama Wewe
Sa Mi Ni Wako, Kwangu Kwako
Ukanipenda, Ukaniita Mwana Wako
Naomba Uniweke Kwako Ndani
Niwe Imara Kama Milima Zayuni
Hauta Anguka Kukiwa Na Mawimbi Wala Kukiwa Na Adui
Kila Kitu Ni Wewe

No comments:

Post a Comment