Friday, 20 November 2015

Unatosha lyrics by Eunice Njeri

Unatosha lyrics by Eunice Njeri
Nimeubeba msalaba wangu
Nikufuate wewe uliyenipenda
Nimeitwa mizigo yangu kwako
Nakufuata wewe uliyependa

CHORUS
Bwana utosha, wanitosha
Mungu wa agano, wewe
Wanitosha
Nasalimu amri yako ee Baba
Sauti yako nimeisikia
Umenivuta Bwana karibu
nawe
karibu zaidi, natamani niwe
http://www.charlaw.blogspot.com

CHORUS
We wangu uu sawa, sioni
hofu
Wanitosheleza, wanitosha
Wengine mie sina,wewe
Wanitosha

No comments:

Post a Comment