Africa Yote Yakusifu (All Africa Praises You) Lyrics by Pastor Patrick
(Sung in Swahili)
Afrika, ni wakati wako (Africa it is your time!)
Afrika yote yakusifu (All Africa Praises you)

Wasomali na Wakongo (Somalis, and Congolese)
Warwanda na Waganda (Rwandese and Ugandans)

Afrika yote yakusifu(All Africa Praises you)

Wanaijeria, Zimbabwe (Nigerians, Zimbabweans)
Na Liberia, Wamoroko (Liberians, Moroccans)

Chorus:
Kwa makofi, na nderemo (With clapping and shouts)
Kwa Kucheza, na shangwe (With dancing, and praising)

Hapa Kenya, Yesu twakusifu (Here in Kenya, Jesus we praise you)

Wakikuyu, na Wakamba (The Kikuyus, and the Kambas)
Wajaluo, na Waluhya (The Luos, and the Luhyas)

Hapa Kenya, Yesu twakusifu(Here in Kenya, Jesus we praise you)
Wamasai, Wameru (The Maasais, The Merus)
Wapokomo, Mijikenda (The Pokomos, The Mijikenda)

(Chorus)
Afrika yote yakusifu (All Africa Praises you)
Afrika yote yakusifu (All Africa Praises you)
Madagascar, Afrika Kusini (Madagascar, South Africa)
Senegali, Namibia (Senaegal, Namibia)

Tanzania, Burundi
Angola, Komoro (Angola, Comoros)

(Chorus) (Repeat)
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Kikuyu, Kikamba (In Kikuyu, in Kamba)
Kijaluo, Kimasai (In Luo, in Masai)
Hapa Kenya, Yesu twakusifu
Kikuyu, Kikamba (In Kikuyu, in Kamba)
Kijaluo, Kimasai (In Luo, in Masai)
(Chorus)
Praise him with Nyatiti
Praise him with Kayamba
Praise him with Watete (Repeat 4)
Praise him with Kayamba
Praise him with Watete (Repeat 4)
No comments:
Post a Comment