Saturday, 19 September 2015

Ndio yako lyrics by Gloria muliro

Title  :Ndio yako lyrics by Gloria muliro

Verse 1
Ooh yeea eeeh
Ingelikuwa mungu anauliza
mwanadamu uu jinsi ya kumtendea aa,
mwanadamu, basi mimi nisingekuwa aa,
jinsi nilivyo ..oo,
ata tena nisingekuwa mahali nilipo,
ungeambiwa sifai kuwa wamekukanya vikali  ungekumbushwa dhambi zangu za kale
baba yo yo unabariki unayependa aa,
unabariki unavyopenda aa ,
(Mimi nahitaji eeh)
(ii ninahitaji ee nahitaji ndio oo yako yesu tuu)x2
ninataka ndio ooh yako yesu tuu,
ndio yako ndio itanisimamisha aah
Ndio yako itanifungulia milango oo

Verse 2
Hakuna sikio lenye funiko jamani ,
wala sijaona jicho lenye pazia aah ,
adui zako wangelikuwa na uwezo oo ,
wangefunga macho wangefunika maskio oo
Wasikuone ukiwa juu ,wasisikie umebarikiwa ee,
meza utaandaliwa mbele yao oo,
Utakula utakunywa mbele yao oo,
Nasema ndio ,ndio ya bwana aah

(refrain)
Yeesu husiposema ndio mali yangu,
akili zangu uu hazitaweza bwana( sema)x2
ndio oo yatosha ee

(refrain)

No comments:

Post a Comment