Naendelea Mbele (I’m Moving Forward) Lyrics by Eunice Njeri
Chorus:
Naendelea mbele, naendelea mbele (I’m moving forward, I’m moving forward)
Sirudi nyuma tena, naenda na Yesu (No turning back again, I’m going with Jesus)

(Repeat)
Verse 1:
Mengi nimeona, ya kunivuta nyuma (I have seen many things that want to turn me)
Ewe Bwana Yesu, umenisaidia (You Lord Jesus, have helped me)
Sio kwa nguvu, wala mamlaka (Not by my might, or my power)
Bali ni kwa Roho, wako mtakatifu (But by your Holy Spirit)

(Chorus)
Verse 2:
Kama si wewe Yesu, ningekuwa wapi (If it wasn’t for you Jesus, Where would I be?)
Ebeneza Mungu wangu, umenitoa mbali (My God Ebenezer, you’ve brought me from far)
Nami nimeamua, takufuata milele (And I have resolved, to follow you forever)
Baba Yangu we, usiniache naenda (My Father you, don’t leave me I’m following)

Verse 3:
Umeniumba mimi, kwa umbo lako Yesu (You’ve created me in your image Jesus)
Menipa Ujasiri, wa Roho wako Mungu (You’ve given me your Spirit’s courage)
Ninaweza yote, wewe waniwezesha (I can conquer all, you enable me)
Sio kwa nguvu wala mamlaka, ni kwa Roho wako (Not by might or power, but by your Spirit)

(chorus)
Verse 4:
Watoto vijana twende, wamama wazee twende (Children youth, Women, men lets go)
Kenya yote twende, twende kwa Yesu (All Kenya lets go, Let’s go to Jesus’)
Uropa Asia twende, Afrika yote twende (Europe, Asia let’s go, All Africa lets go)
Dunia nzima twende, twende kwa Yesu (All the world let’s go, let’s go to Jesus’)
Kanisa lote twende, watoto wote twende (All church let’s go, All children let’s go)

(repeat)
(chorus)
No comments:
Post a Comment