Friday, 20 November 2015

Kazi ya msalaba lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift

Kazi ya msalaba lyrics by Daddy Owen ft Danny Gift

Baraka Nimepokea, Kwako Nimetulia Mimi
Nisije Tumbukia Kama Macho Ya Dunia
Kwako Nijifiche Milele
Fitina Zanizingira, Anasa Kila Kona
Kwa Mikono Yako,
Niweke Mtakatifu
Tokeo Leo Hadi Milele
Niwe Radhi Mimi, Kwa Makosa Yote
Anipenda, Anijali, Anipenda x2

Refrain:
Kazi Ya Msalaba, Nimepokea, Nimekubali,
Nitakusifu, Nitakuimbia Milele x2
Ilikuwa Ni Juzi Tu, Mwanzo Kwangu Kutembea
Ukapumzisha Kwangu Kuongonjea
Lakini Kwako Zaidi Nasogea
Nishiriki Nawe Kwa Mazoea
Zile Kwako Ndo Napokea
Nikuone, Kwangu Baba Ukinitendea
Wewe Ndo Wangu Tu Mimi Na Wewe Tu
Nikuone Kwangu Ukinitendea x2

Refrain:
Siri Ni Yesu, Baba
Siri Ni Ye
Siri Ni Yesu x2
Refrain:

No comments:

Post a Comment