Lingala ya yesu lyrics by piston
Imekuwa Muda Sasa Papa
Sijakuimbia Lingala Baba
Nimekuwa Nikishughulika
Na Mareggea Na Maragga Mablues
Zikafanya Mimi Ni Kalala
Sasa Nimeamka Baba Naimba
Waliniambia Eti Lingala
Poa Nifunge Mshipi Juu Ya
Tumbo
Na Nijue Kilingala Eti
Petit Lingala Le Eze Moke
Wakaniambia Lingala Poa
Niongee Katika Ya Wimbo
Naongea Na Sina Kitu Cha Kusema
Mimi Nasema Lingala Ya Yesu
Haikuangi Complicated
Ukipewa Kagitaa Tu x2
Unainua Mkono Juu,
Unasifu Yesu Juu
Refrain:
Lingala Ya Yesu Wangu,
Inabariki Lingala Ya Yesu Wangu
Si Complicated
Unasifu x3
Sio Lazima Utoboe Kila Pahali
Ndio Msanii Usikike
Sio Lazima Magari Ya Kifahari
Ndio Video Ishike
Sio Lazima Ujue Kilingala
Ndio Congo Ufike
Na Madancer, Nguo Zimewabana
Mimi Nasema Lingala Ya Yesu
Haikuangi Complicated
Ukipewa Kagitaa x2
Unainua Mikono, Juu,
Unasifu Yesu Juu
Refrain:
Unasifu x3
Sio Jina Lako We Msanii
Unasifu Yesu Juu
No comments:
Post a Comment