NIKUPENDEZE LYRICS BY MERCY MASIKA
Ooh ..oooh yeah, oooh yeah..oooh
Verse.
Mienendo yangu na na tabia zangu, zikupendeze.
Kuvaa kwangu na kunena kwangu, kukupendeze x2
Mienendo yangu na na tabia zangu, zikupendeze.
Kuvaa kwangu na kunena kwangu, kukupendeze x2
Naomba nifanane nawe, yesu niwe jinsi upendavyo.
Nifanane nawe, yesu niwe jinsi upendavyo.
Nifanane nawe, yesu niwe jinsi upendavyo.
Niguze, nifinyange, unibebe, niunde, nitengeneze niwe kama wewe, (nikupendeze)x4
Verse
Familia yangu, marafiki zangu tuwe sawa nawe, biashara zangu, kila kitu changu kiwe sawa nawe x2.
Niguze, nifinyange, unibebe, niunde, nitengeneze, niwe kama wewe, (nikupendeze) x4
Verse.
Nifanane nawe (Yesu) niwe jinsi upendavyo
Niunde, nitengeneze, niwe kama wewe (nikupendeze) x4
Baba x2 kwa kunena kwangu (nikupeneze)
Baba natamani sana ( nikupendeze)
Nakupenda sana ( nikupendeze)
Kwa kunena kwangu (nikupendeze)
Kutembea kwangu , ooh niamkapo baba wacha nikupendeze..uuuuuh!!!!
Nakupenda sana ( nikupendeze)
Kwa kunena kwangu (nikupendeze)
Kutembea kwangu , ooh niamkapo baba wacha nikupendeze..uuuuuh!!!!
No comments:
Post a Comment