CHORUS
Nimeokoka na inanibamba mbaya,
Yesu ananibamba mbaya
eii ananibamba mbaya
bamba bamba mbaya
bamba bamba ah
(ananibamba mbaya X2)
bamba bamba ah,
(ananibamba mbaya) X2
verse
shetani (nyenye x2) bubu
ninakukanyanga kama mdudu
Yesu akisema me nadodo
kazi tu kujibamba nakuabudu
msalabani akabuy me
ye ndio msoo wengine jo ni tiny
mambo yake laini ka maini
aii, ye ameningarisha niko shiny
Horera
oh God kwake niko easy
easy no rush, Yesu ananipenda, Yess me know that,
cant wait for sunday so,
me go church oh God,
CHORUS.
verse 2
Yes aiyaa, me napenda messiah,
tangu niokoke shetani anitoke wokovu inanibamba mbaya,
ananibamba amenipa roho, nyeupe kama pamba,
unaweza niita ndege, me napanda,
dhambi tumeua na umealikwa matanga,
haijalishi we nani
umetoka Buru ama Wendani,
mizigo mizito umebeba,
na jua bila Yesu we
huwezani karibu uwe ndani.
CHORUS.
yees man (ananibamba mbaya) X3
yes man (ananibamba mbaya) X3
ananibambambambambeng
anani, ribaribaribangbeng.
ananibambambambambeng
CHORUS
Ona na na what can i say X2
unanibamba day by day X2
No comments:
Post a Comment