Wednesday, 6 July 2016

BWANA YESU LYRICS BY EUNICE NJERI

Verse 1

Bwana Yesu, Bwana Yesu,
Kimbilio langu, ni wewe Baba
Tumaini langu, liko kwako Yaweh,
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe 

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Verse 2
Haleluya, Haleluya Baba
Oh ulinifia mwokozi wangu, dhambi zangu zote ukaziosha
Sijapata mwingine, dunia yote kama wewe yahweh
Sijapata mwingine, sijapata mwingine kama wewe Yahweh

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Verse 3
Nakuinua, nakuinua
Milele milele,nitakuimbia
Kwa yale umenitendea Baba nakusifu
Milele Milele, milele daima Bwana wangu
Milele na milele, milele daima Bwana wangu we 

Chorus
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu
Wewe ndiwe Baba yangu, msaada wangu wa karibu

Verse 4
Hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Mbinguni na duniani tuimbe (Hakuna kama wewe)
Aliye filia dhambi zangu nasema (Hakuna kama wewe)
Mponyaji wangu ndiye Jehova rafa (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Ulimwengu wote tuimbe (Hakuna kama wewe)
Dunia yote tuseme tusemee (Hakuna kama wewe)
Nasema hakuna hakuna hakuna (Hakuna kama wewe)
Oh hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Oh hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna tuimbe (Hakuna kama wewe)
hakuna hakuna nasema (Hakuna kama wewe)
Hakuna hakuna naimba (Hakuna kama wewe)

No comments:

Post a Comment