Sunday, 17 July 2016

NGORI LYRICS BY KELELE TAKATIFU


  (CHORUS)

Itakuwa ngori
bila yesu itakuwa ngori
Pause
mwisho wa story
Ananishangazaga na sema ulala
Kumsifu ,kazi hakuna kulala
Amenipa mavazi na chakulala
Niko fresh niko fridge nko coolala
Askari ama jeshi ama uwe raiya
Tumekubaliana devil is a liar
Bila yesu mambo ngori mambo iko mbaya
Nikasafari bila visa ya kufika ulaya
Hii sio movie ka ya peter pan
Nafwata yesu pia if peter can
Kila mtu sifu mungu ata peter can
Na ni mimi dydy hapa but am think am done

  (CHORUS)

Unaitwa otieno ama dingori
Haijalishi but bila Yesu ni ngori
Itakuwa moody kuliko Awori

Kaa muvy haina stero mwisho wa story
Hii story inaniuma uma
Nata isambae kaa rumor rumor
Yesu amenituma tuma
Nikushow bila yeye nikaa kuuma chuma
Haijalisha umefanya nini no no
Love yake nyinyi kwake more more
Alinitoa mimi chini chini low low
Usikatae kumwamini…mini no no
Yesu ndio fiti fiti stylo
Ye ndio mfiti mfiti I know
Yesu ndio fiti fiti stylo
Ye ndio mfiti mfiti I know

  (CHORUS)

So iiiii tell yah bila yesu ni ngori I tell yah x3
Mummy I tell yah
Daddy I tell yah
Nani I tell yah
  (CHORUS)

No comments:

Post a Comment