Wednesday, 6 July 2016

TUKUZA LYRICS BY GLORIA MULIRO


VERSE 1 LYRICS:
Nitamtukuza Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
Nitamtukuza Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua Mwokozi milele daima
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamrukia Mwokozi siku zangu zote
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamrukia Mwokozi siku zangu zote
nitamtukuza Jehova milele daima

CHORUS LYRICS:
Nitamtukuza aah... tamtukuza ooh..
milele daima
nitamuinua aah... tamuinua eeh...
milele daima

VERSE 2 LYRICS:
Yeye ndiye Bwana wa moyo wangu
Yeye ndiye Mungu wa maisha yangu
Binguni duniani hakuna kama Yeye
Simba wa Yuda Mwana wa majeshi eeh

CHORUS LYRICS:
nitamuinua aah... tamuinua eeh...
milele daima

VERSE 3 LYRICS:
Nitamtukuza Mwokozi siku zangu zote
nitamtukuza Jehova milele daima
mimi nitatangaza wema wake maishani mwangu
nitamtukuza Jehova milele daima
nitashuhudia Wema Wake kwa mataifa yote
nitamtukuza Jehova milele daima
mimi sitachoka kumuimbia Mwokozi wangu
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua, nitamtukuza Mwokozi
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuinua Mwokozi, milele yote
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamuabudu, nitamuinua Mwokozi
nitamtukuza Jehova milele daima
nitamrukia Mwokozi milele milele
nitamtukuza Jehova milele daima

No comments:

Post a Comment