Wednesday, 6 July 2016

USINIPITE LYRICS BY EMMACHICHI


Verse 1
Usinipite mwokozi, uni sikie,
unapozuru wengine naomba usinipite,
Usinipite mwokozi, uni sikie,
 unapozuru wengine naomba usinipite,
chorus
Yesu, yesu, unisikie,
unapozuru wengine, usinipite
verse 2
kiti chako cha rehema, na kitazama,
magoti napiga pale nisamehewe,
kiti chako cha rehema, na kitazama,
magoti napiga pale nisamehewe
Chorus
Yesu, yesu, unisikie,
unapozuru wengine, usinipite
Yesu, yesu, unisikie,
unapozuru wengine, usinipite
Verse 3
 sina ya kutegemea, ila wewe tu,
uso wako uwe kwangu na kua budu,
Chorus
Yesu, yesu, unisikie,
unapozuru wengine, usinipite
Yesu, yesu, unisikie,
unapozuru wengine, usinipite
Verse 4
Umfaraji, peke yake,
sina mbinguni, wala duniani popote bwana mwingine
Chorus
Yesu, yesu, unisikie,
unapozuru wengine, usinipite
Yesu, yesu, unisikie,
unapozuru wengine, usinipite
Yesu, yesu, unisikie,
unapozuru wengine, usinipite

No comments:

Post a Comment