Song : Maria
Artist : Bahati
Eastlands Most Beloved
EMB Records/Teddy B
EMB FILMS
LYRICS
paaparaparia, ilikuwa ndo mchezo bara kanisa sunday,
paapara parira, tulisali pamoja bara shule ni monday x2
nakumbuka ulipenda chakacha, na mimi nilipenda bongo,
ulimsikiza farida , na mimi ni rose muhando x2
ndoto yako ikawa kwenda ng'ambo
mmmh nami yangu ikawa kwenye gospel mmmh x2
maria eh oh umebadilika,
jana si kama leo ,umebadilika,x2
maria aah paaparaparia,
ilikuwa ndo mchezo bara kanisa sunday,
paapara parira, tulisali pamoja bara shule ni monday x2
kutoka kenya dar salama ,
nimekusaka tanzania ,
kwetu pwani hadi kampala ,
uganda nikaingia,
bila budi unatesa na urembo,
mengi pia sigara mateso
bila budi unatesa na urembo
umesahau kuishi malengo
Maria ehh ohh
Umebadilika
jana si kama leo, umebadilika X2
Maria aah
Kumbuka ndoto zetu tukiwa mathare
tukiwa gheto aah eeh Eastlando
nanana eeh rudu nyumbani eh
kwa Yesu nyumbani eeh
No comments:
Post a Comment