SONG: AINA NOMA
ARTIST: KELELE TAKATIFU
LYRICS
Haina noma baba nakungojea,
nakugonjea Haina noma baba nakungojea,
nakugonjea uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
inajulikana ,huwezi pika githeri na candle,
candle na hivo hivo huwezi bila yesu akiwa kando,
kando shida ni mingi,kama risasi kwa movie ya rambo,
rambo lakini yesu suluhisho kutoka kitambo,kitambo
baadaye me naomba kiskuli,
maisha mitihani bila skuli,
shetani kujaribu kunikuli
lakini kwako natulia tuli,
so sitaruka kama tumbili,
ah nitakungoja nitasubiria
ah na ukikuja kwangu hatulii,
utavuta machozi hatulii
Haina noma baba nakungojea nakungojea
Haina noma baba nakungojea nakungojea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
askari kari kari unachunga milango haina noma
ata niwe daktari niende mbali
niwe nimesoma haina noma
Yesu nitakuita uje utende jambo jambo
nitatuliza ngoma ata ka nyumbani kuna jambo, jambo
chini kaniokota , ndoto nikaota
za kupaa kama nyota nikiwa nawe sitasota
si nimeomba nimepray, sitaleta mchezo sitaplay
ninajua utakuja utadelay ,mi ni wako pekeako sitakuplay
Haina noma baba nakungojea,
nakugonjea Haina noma baba nakungojea,
nakugonjea uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
heri wamtumainio bwana (wamtumainio bwana ) X2
wanafuraha wamtumainio bwana (wamtumainio bwana)
wajibiwa wamtumainio bwana (wamtumainio bwana)
heri wamtumainio tumainio (wamtumainio bwana) X2
Haina noma baba nakungojea nakungojea
Haina noma baba nakungojea nakungojea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
No comments:
Post a Comment