Song: Nisaidie
Artist:Piston
Nisaidie Baba nisiwahi lala njaa
Nisaidie Baba nisipatwe na balaa, Hasara
Iwe mbali nami Hata kwa biashara
Ninachouza wanunue
Nisibaki na bidhaa AaAaAah
Nisiwahi kosa pesa za kulipa nyumba ya kukondisha.
Pia unipe yangu,nisiishi sana ya kukodisha
Jinsi ya kupata doh, wewe baba ndio utanionyesha
Utatoa vitu vinavyo, ni-ko-ndesha
Nisaidie x 4
Itakuaje baba jirani wanajua nimeokoka
Na vile mimi nina teseka
Nikona deni hata kwa mama mboga.
Wameshanidharau , watakudharau
Mungu wa Ibrahimu
Waonyeshe kwamba hujanisahau uuuh
Kama shadrach, Meshack, Abedinego
Hata wanirushe kwenye moto
Nikikosa ya Dunia, bado sitawainamiaa
Sitawainamiaa
Nisaidie x4
Shadrack, meshack Abedinego
Hata wanirushe kwenye moto
Nikikosa ya Dunia, bado sitawainamiaaaaa
Kwa kila kitu nifanyacho Baba nisaidie
NISAIDIE x 2
Kwa kazi ya mikono yangu Baba nisaidie
NISAIDIE X2
kwa kila kitu nifanyacho Baba nisaidie
NISAIDIE X2
Uniweke mbali na balaa, unisaidie
NISAIDIE X2
Niweke mbali na Hasara Baba, nisaidie
NISAIDIE X2
Kwa kila kitu nifanyacho Baba, nisaidie
NISAIDIE x2
NISAIDIE,NISAIDIE, NISAIDIE
NISAIDIE
Skiza tune 5021032 To 811
a
No comments:
Post a Comment