SONG: DIGIRI
ARTIST:WILLY PAUL
Produced by ilogos music
Video director: Enos Olik
LYRICS
mbinguni hakuna digiri
Mungu wangu hana digiri
Malaika hawana digiri
Adam na Eve hawakuwa na digiri
Digiri, digiri, digirii, digiriii
Some of you call me Willy Paul, Willy pozee
Some of you call me just Pozee
Heaven material
VERSE ONE
Leo nina mambo
Nitatoboa mambo
Nataka sema mambo mmh kama Rambo
Za Rambo kanambo
Hapo kuna mambo mambo mambo
Ukininyima kirahisi hiyo siyo mambo
Bali ni jambo haitaleta mambo
Tuonyeshane upendo
Si Mungu alisema tuwe na upendo
Sio vita kama mama wa kambo
Wengine wajidai eti wamesoma sana
Hawaezishirikiana na watu hawajasoma
Wacha nikushow mbinguni hakuna shule
Sote tuko equal, hiyo si uwongo
Wacha nikushow siri moja
Huhitaji awards kuingia heaven
Wacha nikushow siri moja
Huhitaji digiri kuingia heaven
Wacha nikushow siri moja
Huhitaji awards kuingia heaven
Wacha nikushow siri moja
Huhitaji digiri kuingia heaven
HOOK
mbinguni hakuna digiri
Mungu wangu hana digiri
Malaika hawana digiri
Adam na Eve hawakuwa na digiri
Digiri, digiri, digiriii, digirii
Digiri, digiri, digiriii, digirii
VERSE TWO
Mmmh Njeri, usimlenge Omondi
Mmmh Njeri, usimlenge
Unawezamlenga kumbe unayemlenga
Ndiye yule mmoja umekuwa ukimsaka
Na itakuwa ni mambo na mambo ni mambo
Alisema atakuja in so many forms
Hauhitaji kujaza any forms
Ukitenda mema yaah
Atakuchukua
Bila ye kuna mambo
Ukiwa na jambo we mtafute
Atakupea mambo
Wacha nikushow siri moja
Huhitaji awards kuingia heaven
Wacha nikushow siri moja
Huhitaji digiri kuingia heaven
Wacha nikushow siri moja
Huhitaji awards kuingia heaven
Wacha nikushow siri moja
Huhitaji digiri kuingia heaven
HOOK
mbinguni hakuna digiri
Mungu wangu hana digiri
Malaika hawana digiri
Adam na Eve hawakuwa na digiri
Digiri, digiri, digiriii, digirii
Digiri, digiri, digiriii, digirii
OUTRO
Huuh huuh huuuh
Huuuh huuh
Huuuh
Huuuh
Huuuh
Huuuh
mbinguni hakuna digiri
Mungu wangu hana digiri
Malaika hawana digiri
Adam na Eve hawakuwa na digiri
Digiri, digiri, digiriii, digirii
Digiri, digiri, digiriii, digirii
mbinguni hakuna digiri
Mungu wangu hana digiri
Malaika hawana digiri
Adam na Eve hawakuwa na digiri
Digiri, digiri, digiriii, digirii
Digiri, digiri, digiriii, digirii
No comments:
Post a Comment