Thursday, 14 September 2017

Ndogo ndogo lyrics by bahati and David wonder

Ndogo ndogo lyrics by bahati and David wonder

Hizi vitu ndogo sizifanye nisikuimbie baba,
Hizi vitu ndogo sizifanye me nikununie baba,
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]

sukari ikipanda na unga,
hizo vitu ndogo,
umekonda na yule ameunga hizo vitu ndogo,
hizo vitu ndogo,
unashinda ukilia kusota hizo vitu ndogo,
kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo,
eh davide unajua bila yesu ni trickyde,
eh mimi bahatide,nakwambia shida zako ni ndogode,
ai,anakuchekide,ukicomplain ju ya holiday,
hizo vitu dogode,mbele yake dogo kama odede
unashinda unalia kusota hizo vitu ndogo,
kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo,

Hizi vitu ndogo sizifanye nisikuimbie baba,
Hizi vitu ndogo sizifanye me nikununie baba,
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]

hey me ni winner ,
ata kama pesa sina,Lamborghini na BMaa
najua zote atanipa,
madeni alilipa huyu yesu wa uzima,
am nolonger a sinner,
Unalia juu ya BMaa.
eh vipide unajua bila yesu ni trickyde,
eh mimi mwanade,nakwambie shida zako ni ndogode,
ai,anakuchekide,ukicomplain ju ya holiday,
hizo vitu dogode,mbele yake dogo kama odede
Hizi vitu ndogo sizifanye nisikuimbie baba,
Hizi vitu ndogo sizifanye me nikununie baba,
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]

unashinda ukilia kusota hizo vitu ndogo,
kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo,

Hizi vitu ndogo sizifanye nisikuimbie baba,
Hizi vitu ndogo sizifanye me nikununie baba,
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo] a

No comments:

Post a Comment