Saturday, 25 November 2017

ISIWE HIVYO LYRICS BY BAHATI

Nilikotoka nyumbani kwetu hakurudiki
nilipotoka ni mbali sana,na sikumbuki
sijui kabila nimelelewa na mashambiki
wenzangu ghetto tumependana,ingawa umaskini

elfu mbili na saba,situligongana mathare iliumiaga
na ndugu zetu kazika na walotufanya leo wanaongeaga

tuaharibu nyumbani wapi tuelekee
rangi za bendera yetu,kenya itetee,
ama ni kweli tumepotea,tusiache kenya itaangamia
ama udungu umetuishia ,nahisi mungu umetuondokea
isiwe hivyo

mama mboga alindwe na nani
mwanamziki asikizwe na nani
yule mwalimu amfunze nani
watoto wetu walindwe na nani
tusitengane wakose amani

ama ni kweli tumepotea,tusiache kenya itaangamia
ama udungu umetuishia ,nahisi mungu umetuondokea
isiwe hivyo

hatufanyani kama jana ,
kumwaga damu hiyo hapana
hatutengani sisi wakenya,
juu ya ukabila au siasa

nasema bwana ama ni kweli tumepotea
ama ni kweli tumepotea,tusiache kenya itaangamia
ama udungu umetuishia ,nahisi mungu umetuondokea
isiwe hivyo
isiwe hivyo a

No comments:

Post a Comment