Showing posts with label EVERLYN WANJIRU. Show all posts
Showing posts with label EVERLYN WANJIRU. Show all posts

Monday, 5 September 2016

MUNGU MKUU LYRICS BY EVERLYN WANJIRU


Unabaki kuwa mungu pekee

(CHORUS)

Zaidi ya yote, utabaki kuwa mungu mkuu Alpha na Omega, hubadiliki kamwe ×2
Nikitazama nyuma na mbele, naona ukuu wako 
Kaskazini, kusini pia naona ukuu wako Magharibi nako mashariki pia naona ukuu wako


(CHORUS)
Hakuna mkamilifu katika wanadamu yeeh,zaidi ya ewe mungu wangu 
Kila goti lipigwe, 
kila ulimi ukiri kuwa wewe ni mungu pekee pekee


(CHORUS)
Umenipigania vita vikali, ambavyo mimi singeweza pekee yanguuu 
Maaduii waliniandama, lakini ukawatawanya kwa njia sabaa 
Usifiwee, uabudiwee iyeeeh



(CHORUS) 

Anabaki kuwa mungu tuu 
Anabaki kuwa mungu tuu 
Na kwa wakamba (mungu tu) 
Na kwa waluhya (mungu tu) 
Nao wakikuyu (mungu tu)
Nao waturukana (mungu tu)
Ata wakisii (mungu tu)
Ata waluo (mungu tu)
Na kwa wamaasai (mungu tu)
Na kwa wakalenjini (mungu tu)
Wa mijikenda (mungu tu)
Anabaki kuwa mungu tu
Na kwa wazungu (mungu tu)
Afrika yote (mungu tu) 
Dunia yote utabaki kuwa mungu mkuu 

(CHORUS)

TUNAKUABUDU LYRICS BY EVERLYN WANJIRU

(CHORUS)


Tunakuabudu tunakuabudu tunakuabudu Mwenye enzi ×2
Tunainama mbele zako tukikusujudu maana wewe ni mtakatifu wa watakatifu


(CHORUS) 
Tunanyenyeke mbele zako
nikisema wewe ni mtakatifu wa watakatifu ninakusujudu baba


(CHORUS)
Uko hapa bwana yesu uko hapa bwana yesu ×2
Mwana wa mungu simba wa yuda, umetawala uko apa Oooh imbia yesu anayenipigania Oooh imbia yesu anayenipigania ×3

WAWEZA LYRICS BY EVERLYN WANIRU


(CHORUS)

Waweza waweza waweza mwokozi Waweza mambo yote wewe mwaminifu ×2


Bwana mungu wangu, umenikomboa Umeniwezesha mimi wewe ni mkuu Ukaniita kwa jina langu eeeh, ukaniwezesha bwana wee nikuabudu bwana nikuimbie 
Nilipokuwa kwenye dhambi, ukanionyesha mwanga,
wewe ni mwanga wangu bwana wewe ni mkuu



(CHORUS)
Bwana mungu wangu eeh wewe ulimsaidia Ayubu, 
alipokuwa na shida nyingi
Bwana ulikuwa naye


Neno lako linasema, unazo fedha zote ni zako bwana wewe ni muweza


(CHORUS)

Wakati ninazo shida na magonjwa, 
bwana unasema tuliite jina lako
Na we ndiye muweza,wewe ndiye mwenye nguvu
Wewe ni kimbilio baba, waweza mambo yote



(CHORUS)
Unaweza, unaweza, unaweza baba unaweza ×5