Friday, 30 October 2015

Amini Lyrics by Gloria Muliro

Amini Lyrics by Gloria Muliro

Verse 1:
Tangu niwe mdogo, ni mengi nimepita (I’ve experienced many things from infancy)
Mengine mazuri, mengine machungu (Some good, some painful)
Lakini jambo moja ninalijuwa (But I know one thing)
Heri mwisho wa jambo, kuliko mwanzo wake (Better the end result, than it’s beginning)

Chorus:
Amini mwenzangu (Mungu atakuweka juu) [Believe my friend (God will lift you up)]
Amini moyoni (Mungu atakuweka juu) [Believe in your heart ]
Usiwe na shaka (Mungu atakuweka juu) [Do not worry ]
Usiwe na hofu (Mungu atakuweka juu) [Do not fear ]
Hata kama uko chini (Mungu atakuweka juu) [Even if you are the last ]
Hata kama umeshindwa (Mungu atakuweka juu) [Even if you are weary]
Usiwe na shaka (Mungu atakuweka juu) [Do not worry]
Usiwe haraka (Mungu atakuweka juu) [Do not hurry ]

Verse 2:
Mwanzo nilivyokuwa, mimi sikuchagua (I did’nt choose my beginnings)
Yote niliyopitia, mimi sikuchagua (I did’nt choose all I experienced)
Kukosa chakula, mavazi, amani sikuchagua (to Lack food, clothes, peace)
Kudharauliwa, kuteseka, kupotea njia sikuchagua (to be despised, to suffer, to be lost)
Ila Nashukuru Mungu alitumia yote kunitengeneza (Only I thank God for He used this to mold me)

(Chorus)

Verse 3:
Mwanzo wako najua haukuchagua (You did not choose your beginnings)
Japo mambo uliyopita wewe hukuchagua (You didn’t choose all you passed through)
Lakini amini hayo Mungu anakwambia (But believe what God is telling you)
Macho hayajaona masikio hayajasikia (No eye has seen, no ear has heard)
Mambo makubwa amekupangia (All that God has prepared for you)

(Chorus)

No comments:

Post a Comment