SIJAFIKA - WILLY PAUL FT SIZE 8,KAMBUA, GLORIA .
ulalala u Willy Willy Paul
Number nane nane, Size 8, Kambua
Gloria Muliro tena.
Teddy B
Number nane nane, Size 8, Kambua
Gloria Muliro tena.
Teddy B
WILLY PAUL
Usinione naruka ruka msela, sijafika
Usinione nacheza ngoma msela,
sijafika
Usinione naruka ruka msela, sijafika
Usinione nacheza ngoma msela,
sijafika
SIZE 8
Usinione naruka ruka dada, sijafika
Usinione nacheza ngoma dada,
sijafika
Usinione naruka ruka dada, sijafika
Usinione nacheza ngoma dada,
sijafika
WILLY PAUL
Usinione mimi kwenye sitolia,
sijafika
Usinione mimi kwenye tamtam,
sijafika
Usinione mimi kwenye sitolia,
sijafika
Usinione mimi kwenye tamtam,
sijafika
SIZE 8
Usinione narusha rusha mateke,
sijafika ahah
Usinione nawasha washa moto,
sijafika
ooh sijafika, sijafika, sijafika
ooh sijafika, sijafika, sijafika
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh (mmh) msela
eeh, eeh, (eeh) ooh ooh (aaah)
ooh, ooh, eeh, eeh (eeh) ooh, ooh
(aah)
Usinione narusha rusha mateke,
sijafika ahah
Usinione nawasha washa moto,
sijafika
ooh sijafika, sijafika, sijafika
ooh sijafika, sijafika, sijafika
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh (mmh) msela
eeh, eeh, (eeh) ooh ooh (aaah)
ooh, ooh, eeh, eeh (eeh) ooh, ooh
(aah)
WILLY PAUL
Matimes huanga nanung'unika,
nikipata chuki
na mi natafuta Yesu, wangu wa
maishani
Matimes huanga nanung'unika,
nikipata chuki
na mi natafuta Yesu, wangu wa
maishani
KAMBUA
Kweli kafanya nishikilie Baba, lakini
bado
mimi Kambua sijafika, nahitaji,
uwepo wako
Ndio maana, usiku na mchana
ntakupa sifa aah eeh
lalala
Wapi Gloria?
Kweli kafanya nishikilie Baba, lakini
bado
mimi Kambua sijafika, nahitaji,
uwepo wako
Ndio maana, usiku na mchana
ntakupa sifa aah eeh
lalala
Wapi Gloria?
GLORIA
Ilianza Omwami Aletsa, ikafuata
Yesu Iroma
Ikaja Kibali na bado ukasonga
Tulipotoa sitolia mwana, walidhani
tumefika aah aah
Kumbe, ilibidi tufollow, follow You:
Where you go
nangojea matokeo yangu: bado
nangoja matokeo
hata baada ya mpango wa kando,
sijafika
tuma aah Baba, msaidizi kwangu
maana zaidi,
nataka nimwone Yesu maishani
mwangu
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh (mmh) msela
eeh, eeh, (eeh) ooh ooh (aaah)
ooh, ooh, eeh, eeh (eeh) ooh, ooh
(aah)
Ilianza Omwami Aletsa, ikafuata
Yesu Iroma
Ikaja Kibali na bado ukasonga
Tulipotoa sitolia mwana, walidhani
tumefika aah aah
Kumbe, ilibidi tufollow, follow You:
Where you go
nangojea matokeo yangu: bado
nangoja matokeo
hata baada ya mpango wa kando,
sijafika
tuma aah Baba, msaidizi kwangu
maana zaidi,
nataka nimwone Yesu maishani
mwangu
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh (mmh) msela
eeh, eeh, (eeh) ooh ooh (aaah)
ooh, ooh, eeh, eeh (eeh) ooh, ooh
(aah)
WILLY PAUL.
Hatujafika, tuko safarini sote
(hatujafika mama)
Hatujafika tuko safarini sote
Hatujafika bado hatujafika (bado
hatujafika mama)
Hatujafika hatujafika aah eeh eeh
Hatujafika, tuko safarini sote
(hatujafika mama)
Hatujafika tuko safarini sote
Hatujafika bado hatujafika (bado
hatujafika mama)
Hatujafika hatujafika aah eeh eeh
Willy Paul aeh,
Kambua aeh aah
Size 8 aeh,
Gloria aeh
hatujafika mama eh ah
tupo safarini aah
tupo safarini aah
Teddy B
ieeh
ieeh
natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh
(mmh) msela
eeh, eeh, (eeh) ooh ooh (aaah)
ooh, ooh, eeh, eeh (eeh) ooh, ooh
(aah)
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh
ieeh natafutaYesu maishani ooh
ieeh ieeh ieeh natafuta Yesu
maishani ooh
(mmh) msela
eeh, eeh, (eeh) ooh ooh (aaah)
ooh, ooh, eeh, eeh (eeh) ooh, ooh
(aah)
No comments:
Post a Comment