In love i am falling.
Na ni Bahati tena
Kama Bahati nasibu kukupata tabibu
uliponya vidonda vyangu vya zamani papa eeh X2
nilipokosanga mpenzi ukanibembeleza eh
kifuani na mapenzi ukanidekeza X2
In love i am falling X2
wacha nibonge kingoso na mababi waskie
In love i am falling X2
wacha nibonge kigheto dunia Yesu itambue
la la la ,ie ie ie X4
Ni napokuimbianga mapenzi wanashuku sana,
maybe nikona kababie sio nyimbo ya Bwana X2
In love i am falling X2
wacha nibonge kingoso na mababi waskie
In love i am falling X2
wacha nibonge kigheto dunia Yesu itambue
la la la ,ie ie ie X4
In love i am falling X2
wacha nibonge kingoso, na mababi wasikie.
silii tena Ng"o he he he
No comments:
Post a Comment