OH nana na na OOH jimmy gait again
oh na na na na
kuna watu wako university na wengine jobless
wanashinda wakitafuta-tafutaa sponsor.
hawataki kufanya kazi wanataka life so easy
wanashinda wakitafuta sponsor
utawapata :.....: wakiiwa wananyota
waone kama wanawezapata sponsor
yesu ndie sponsor wa kweli ,
unapewa nyuma, unapewa ngari
na mali nyingi sana sana
mwishowe unajuta sababu yake sponsor
ndie sposor wako anakufanyia wadhani niwe pekee,kumbe kuna kadha wa kadha
pia uwa anasponsor.
unapata magonjwa yasiyo na tiba na future yako yatumbukia
njoo kwa Yesu sponsor wa kweli na hutajuta kamwe NONO.
chorus.x2
njoo kwa yesu sponsor wa kweli kila kitu atakupa OH OH
njoo kwa Yesu sponsor wa kweli na hutajuta kamwe NONO.
CHORUS.
No comments:
Post a Comment