Friday, 2 December 2016

KWA MOYO WANGU LYRICS BY BAHATI AND JEMMIMAH THIONG'O

. . . . . .

  Artist : BAHATI & JEMMIMAH THIONG'O.
Song : KWA MOYO WANGU. 
AUDIO PRODUCED BY RKAY
EMB FILMS/BWOY-P

LYRICS


BAHATI
oh mapenzi ya msalabani ni mapenzi ya baba yangu*
Miaka elfu mbili zilizopita, hiyo siku baba,
kabla jua halijazama kabla giza halijatanda, 
pale milimani ,pale msalabani katika misumari,
kalipa yote maishani baada ya mapigo na matusi, 
kanisamehe mwenye dhambi,
 oh oh oh oh 

Chorus 
kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie, 
kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue,x2


JEMMIMAH
kama si we kunifia basi ningeitwa nani, 
kama sio kwa damu yako basi ningetakasika aje
kama sio we mungu wangu mimi ningeishi vipi
ulikufa ukafufuka ili nipate uzima wa milele 
nakuinua ,uishiye,pokea sifa kwa maana wewe mimi sina 

Chorus 
kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie, 
kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue,x2

Because of your love i dont .............Continues

No comments:

Post a Comment